Tuna imani atarudi hivi karibuniKichwa kichafu anajua sehemu alipo
Kwema kabisa tremendousKwema Kichwa Kichafu? Lini tunasafisha hicho kichwa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23]KK uje huku utuambie mchina yuko wapi
KabisaAnasema waliojiona malaika atawageuza shetani, na wale waliofanywa shetani miaka nenda rudi watakuwa malaika. Nadhani tunaelekea huko. Acheni siasa bhana CHAPA likes
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo sitaki nataka ule mwingine[emoji23][emoji23]![]()
Huo hapo
21:179:15
AMUN RA
Lov u more babe[emoji8][emoji8]That's my girl I love you for real
Nzuri nimeipenda
Huo uzi nimeona maajabu daah!acha nifungue saloon ya kiume mana ni fursa[emoji23][emoji23][emoji23]
Asante*Tulipokuwa WATOTO Tulitumia PENSELI lakini UKUBWANI Tunatumia PENI.... MAKOSA ya UTOTONI ni RAHISI kufutika sababu pencel ina kifutio lakini UKUBWANI NI VIGUMU kwa vile PEN haina kifutio hivo kuwa MAKINI na mwangalifu katika MAISHA ishi na watu vizuri ili usifanye makosa kwani watu hukumbuka mabaya zaidi kuliko mema unayowatendea! Hii ni sadaka nakupa Rafiki yangu mpe nawe unayempenda
Usinichekeshe moudgulf
Kakakuona
Leo nimejikita zaidi kwenye kugonga like zaidi ya kupost