Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

JINSI YA KUTUMIA SCRUB
Jitahidi usitumie nguvu nyingi katika kusugua ngozi yako maana unaweza kujichubua na chembe chembe za scrub yako.

Sugua ngozi yako kwa kufuata uelekeo wa viduara kuifanya isugue vizuri.
Teh teh teh huwa nakumbuka kuna mtu alipiga scrub kwq kukurupuka uso siku ilikofata Nilibaki kucheka siku nzima
 
IMG_3374.JPG
 
*Wanaume Mungu anawaona. Baba kasevu jina la kimada M-pesa Mke akaona SMS inaingia kutoka m-pesa "nimekumisi" mke akasema duh maisha magumu kweli mpaka M-pesa wanamisi watu???? [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom