Labda wavae madera wayafiche, vinginevyo wasikatize mtaa wa msimbaziKuna haja ya kuandamana ili wenye misambwanda wawe huru kuzunguka mitaani bila kubugudhiwa na wahuni[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi ikitokea hivyo sitalaumu muhimu furaha ya nani hii yangu itimie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo huwa hamtaji pesa mwisho ndio mnatukaba.
Bado vituko vya hapo unaweza ukatoa vifuko yote ya suruali[emoji23] [emoji23]
Nakusalimu[emoji23][emoji23][emoji23]nimekaa mafinga for 3years na nilikuwa napenda nyama choma hakuna mfano kuna kipindi nawaza kama sijawahi kula iyo kitu aisee mana si kwakupenda nyama kule[emoji23][emoji23][emoji23]
SawaTunasikitika kuondoka kwake lakini hakuna namna, mpira ni biashara tu. Acha wapige pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Povu la bia halifuliwi nguo[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hehehehe nipo aiseeeUmeona kwa mbele??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe bageshi. Lala salama...Jamani napita kuwapa usiku mwema.
Nakuona nakuonaVipi tena?umeumia au ndo ushalegea?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niambie mwaka gani isijekuwa....[emoji23][emoji23][emoji23]nimekaa mafinga for 3years na nilikuwa napenda nyama choma hakuna mfano kuna kipindi nawaza kama sijawahi kula iyo kitu aisee mana si kwakupenda nyama kule[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitatafuta wale wenye umbo la kibantu[emoji23][emoji23][emoji23]pole shemeji...Sijausoma uzi lakini siku ukifungua shemeji nitonye. Tena ajiri mabinti wakali wa kuosha nywele na kufanya massage...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara yangu ya kwanza kwenda hizi saluni nina hela zangu za ng'ombe nikanyolewa halafu binti akaanza kuniosha kwa maji vuguvugu kwa mbele huku kaniinamia mpaka embe dodo zinanichoma usoni. Kuangalia kumbe tupo kwenye kachemba peke yetu. Nikaona hapa hela za ng'ombe zitapigwa hapa. Akamaliza nikamwona kama sauti imebadilika ameanza kulegea nikatoka kwenda kaunta kulipa. Nikasema aise nimeponyoka na mpaka leo sijaenda tena katika hizi saluni. Ni mtego mkali sana !!!
Mara nyingi tu..Ushai kutana na dem mrembo mpaka unatoa earphones ndio umuone poa...
[emoji23]
Msambwanda wa uhakika hata dera liweje utauona tu unabingirika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda wavae madera wayafiche, vinginevyo wasikatize mtaa wa msimbazi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu usinilishe maneno weweeeee
Siku hizi wanavaa tena sio madera ni vijora(madera yale mepesi)na ndani ni mwendo wa bikin tuLabda wavae madera wayafiche, vinginevyo wasikatize mtaa wa msimbazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah nakuona na story zako za misambwanda, kwhy unataka kusemaje khs mm?Mimi ikitokea hivyo sitalaumu muhimu furaha ya nani hii yangu itimie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]