Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu mbaya zaidi alianza kukuosha kwa mbele....Mimi nisingetoka kama hela za maparachichi acha ziishe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nitatafuta wale wenye umbo la kibantu[emoji23][emoji23][emoji23]pole shemeji...
Kwa wivu nilionao wangu nitamsindikiza habari ya kusingana ni nyumbani presha za bure sizitaki
Mumeo akiwa ana-frequent hizi saluni watampata tu. Kimsingi haya ni madanguro ya ufuska na si kingine. Na wafanyakazi wengine ni wakali kweli kweli. Kama binti aliyenitia majaribuni siku ile ama ni Mhabeshi/Msomali au ni mtu wa Mbulu huko. Alikuwa mzuri kweli kweli ten amevaa kisketi msambwanda pwaaaaaa [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…