Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu mbaya zaidi alianza kukuosha kwa mbele....Mimi nisingetoka kama hela za maparachichi acha ziishe tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee hapana. Ng'ombe wametoka Usukumani mpaka wamefika mnadani Pugu ndo hela ziende tu kisa msambwanda, aisee hapana. Mtihani ulikuwa mgumu na sijui hata nilichopokaje aisee. I am very proud of myslef that day. Utafikiri nilikuwa Yusufu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom