andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mweeeee....umepona[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Isijekuwa........2011_2014
Mweeeee....umepona[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Isijekuwa........2011_2014
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]mayoooooHuyu mbona mnene tu. Msambwanda unanoga kiuno kikiwa chembamba na tumbo flat kidogo...![]()
Na nini tena[emoji23][emoji23][emoji23]Mweeeee....umepona[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Wapi huko carba??? Sirudi Tukuyu kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena siku hizi wanawafanyia kusud hawavai kitu ndani wenyewe wanasema joto[emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda Pompei mkuu ukaone...
Nenda Pompei mkuu ukaone...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama vileeee??Dondoka basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Rudi tu tukuyu kwakweli mjini hapafai[emoji23][emoji23][emoji23]utajikuta faida ya maparachichi yote imeisha[emoji23][emoji23][emoji23]Wapi huko carba??? Sirudi Tukuyu kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
What is it My love.[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]mayooooo
Well said my dearHumu ni supermarket kila kitu kipo
Siasa kidogo
Mmu ipo humu
Ubuyu tunapata humu
Afya
Michezo
Habari mchanganyiko
Utani...maisha mazuri kabisa
Naiman hata EPL tutaangalia humu
Broooo.Huyu mbona mnene tu. Msambwanda unanoga kiuno kikiwa chembamba na tumbo flat kidogo...![]()
Wanaume sisi majaribu ni kila siku. Sijui ninyi. Na kipindi kile cha utineja ni hatari sana. Tatizo wengine utineja huwa hawauvuki. Unakuta jibaba 50+ lakini tabia zile zile za kitineja. Ni shida!Hongera kwa kumponyoka mhudumu wa saloon mana alikuweka majaribun[emoji23][emoji23][emoji23]