YupLunar eclipse or what
Eeeh ndio kama vile[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zile emoji sijapata ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama vileeee??
Umemwona dogo hapo
Sirudi kijijini bila kukabiliana na hiyo hali[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapo sasa. Andjul upo?
Kuna picha imetumwa hapo juu ndo nilikuwa nashangaaWhat is it My love.
Wapi tena???Ngoja niende[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasoma comments zenu hapa nalike huku nacheka Uzi mtamu sana huu walahiKweli leo ni jumatatu,watu wamechoka uzi umepoa
Mahangaiko mengine mnajitakia[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Na kuhangaika pia[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Bila Wewe Hapana MimiHumu ni supermarket kila kitu kipo
Siasa kidogo
Mmu ipo humu
Ubuyu tunapata humu
Afya
Michezo
Habari mchanganyiko
Utani...maisha mazuri kabisa
Naiman hata EPL tutaangalia humu
Kapicha kanavutia
Hapana alikuwa prince Cole
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli uliyashinda majaribuAisee hapana. Ng'ombe wametoka Usukumani mpaka wamefika mnadani Pugu ndo hela ziende tu kisa msambwanda, aisee hapana. Mtihani ulikuwa mgumu na sijui hata nilichopokaje aisee. I am very proud of myslef that day. Utafikiri nilikuwa Yusufu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We Mzee ww jiangalie ww.[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] nikitaka kuwaona niende wapi?
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]nimekaa mafinga for 3years na nilikuwa napenda nyama choma hakuna mfano kuna kipindi nawaza kama sijawahi kula iyo kitu aisee mana si kwakupenda nyama kule[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukichoka upumzike sawa babe usije umwa macho kama siku ileKwa kuwa mmenikomoa kuniwekea mipost zaidi ya 1000 basi Nami nitawakomoa kuwapa likes kwa kiwango kile kile