andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Naja jumamosiTandika,Magomeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naja jumamosiTandika,Magomeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
You know me better than my self.[emoji23][emoji23][emoji23]doooh mana macho yalinitoka et si kwa jobu lile
[emoji4][emoji4][emoji4]Between Us Me and You my love
Leo tutakuwa wote mida mibovu
HahahahahaSijausoma uzi lakini siku ukifungua shemeji nitonye. Tena ajiri mabinti wakali wa kuosha nywele na kufanya massage...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara yangu ya kwanza kwenda hizi saluni nina hela zangu za ng'ombe nikanyolewa halafu binti akaanza kuniosha kwa maji vuguvugu kwa mbele huku kaniinamia mpaka embe dodo zinanichoma usoni. Kuangalia kumbe tupo kwenye kachemba peke yetu. Nikaona hapa hela za ng'ombe zitapigwa hapa. Akamaliza nikamwona kama sauti imebadilika ameanza kulegea nikatoka kwenda kaunta kulipa. Nikasema aise nimeponyoka na mpaka leo sijaenda tena katika hizi saluni. Ni mtego mkali sana !!!
[emoji115] [emoji111]Kama uko kwenye moyo wangu
[emoji23][emoji23][emoji23]rudi tu kwa mkeo mkaendeleze kilimo haya mengine waachie kina KK[emoji276] [emoji276]Sirudi kijijini bila kukabiliana na hiyo hali[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Broooo naona Unamwita Mzee andjulHapo sasa. Andjul upo?
Hata ya Kilimanjaro hotel the same year tulikuwa tunakwenda kwenye election
First multi party elections
Huu uzi ni stress free zone walahNasoma comments zenu hapa nalike huku nacheka Uzi mtamu sana huu walahi
[emoji9][emoji9][emoji9]Bila Wewe Hapana Mimi
Kabisa
Mambo nsamakaNakusalimu
Na kwako piaJamani napita kuwapa usiku mwema.