Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mimi uzuri wako TuKama wewe ni flat kama mimi karibu tupambane na hali zetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi uzuri wako TuKama wewe ni flat kama mimi karibu tupambane na hali zetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]poleni sanaWanaume tumeumbwa mateso mateso kuangaika
Namba kwa sauti
Baba ya muziki
Hahahahaha dahMumeo akiwa ana-frequent hizi saluni watampata tu. Kimsingi haya ni madanguro ya ufuska na si kingine. Na wafanyakazi wengine ni wakali kweli kweli. Kama binti aliyenitia majaribuni siku ile ama ni Mhabeshi/Msomali au ni mtu wa Mbulu huko. Alikuwa mzuri kweli kweli ten amevaa kisketi msambwanda pwaaaaaa [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️.
YNWA
UMUHIMU WA BODY SCRUB
Kinachotofautisha body scrub na visafisha ngozi vingine( cleansers) kama cleanser,bath gell na body wash ni kwamba scrub ina chembe chembe (texture) zinazoiwezesha kufanya kazi katika kuisugua ngozi ya mtumiaji.
EPL yupo Ruta[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Humu ni supermarket kila kitu kipo
Siasa kidogo
Mmu ipo humu
Ubuyu tunapata humu
Afya
Michezo
Habari mchanganyiko
Utani...maisha mazuri kabisa
Naiman hata EPL tutaangalia humu
Siyo kipompiKazi zinazofanywa na body scrub ni kama ifuatavyo:-
Kuondoa seli zilizokufa, hizi hutengeneza kama layer flani ya uchafu juu ya ngozi.
Inasaidia kuiacha ngozi yako ikiwa ya kung'aa na muonekano mzuri.
Inaondoa mafuta na vipodozi vinavyoziba matundu ya ngozi yako.
Inapunguza na kuzuia kuota chunusi.
Inasaidia ngozi yako kuweza kufyonza vizuri mafuta/lotion na virutubisho vingine vya kupakwa.
Darasa zuriUTACHAGUAJE YA KUKUFAA?
Vitu vinavyoamua uchague scrub ipi ni vifuatavyo:
Aina ya Ngozi yako:
Aina ya chembe chembe katika scrub yako ichaguliwe ukijua ngozi yako ya namna gani.