Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Sijausoma uzi lakini siku ukifungua shemeji nitonye. Tena ajiri mabinti wakali wa kuosha nywele na kufanya massage...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mara yangu ya kwanza kwenda hizi saluni nina hela zangu za ng'ombe nikanyolewa halafu binti akaanza kuniosha kwa maji vuguvugu kwa mbele huku kaniinamia mpaka embe dodo zinanichoma usoni. Kuangalia kumbe tupo kwenye kachemba peke yetu. Nikaona hapa hela za ng'ombe zitapigwa hapa. Akamaliza nikamwona kama sauti imebadilika ameanza kulegea nikatoka kwenda kaunta kulipa. Nikasema aise nimeponyoka na mpaka leo sijaenda tena katika hizi saluni. Ni mtego mkali sana !!!
Mwenyewe naisubiri kwa hamu hapa, lakini hata dalili hazionekaniHahahhaha watu wanasubiri NOAH zao huku
Kuna hatari noah za makinikia zikarukiwa juu kwa juu na joka la makengeza. mtabaki mnalia lia. Joka huwa hajiweki mbali na fursa kama hizitatizo updates za makinikia atupati tungeshajua kama noah zipo au azipo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku Safi sanaBroo kiukweli mimi ninapo Pata free time yaan Muda wangu Wote napoteza humu. It feels like Home
Watu watachukua hela zao za mboga asubuhi na mapemaaaa....Kuna hatari noah za makinikia zikarukiwa juu kwa juu na joka la makengeza. mtabaki mnalia lia. Joka huwa hajiweki mbali na fursa kama hizi
Sent using Jamii Forums mobile app