Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Basi itabidi Cole anashinda humu kwa sababu bila uwepo wako humu mambo hayawi sawia. Andjul pamoja na mkewe + KK watasumbuana na nani ukiwa haupo? Nyote mkiwemo humu uzi huwa unachangamka balaa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namalizia viporo vyangu
 
Fanya mpango uifiche aisee, inanitia kichefu chefu
Nimeshaificha mkuu. Ni comment ya Mzee wa Tukuyu: # 240542 kama sikosei. Tulikuwa na mjadala mzuri kuhusu haya mambo !!!
0e8998976e109ba5b94bc4342b9d5f0f.jpg
 
Back
Top Bottom