Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namalizia viporo vyanguBasi itabidi Cole anashinda humu kwa sababu bila uwepo wako humu mambo hayawi sawia. Andjul pamoja na mkewe + KK watasumbuana na nani ukiwa haupo? Nyote mkiwemo humu uzi huwa unachangamka balaa...
Fanya mpango uifiche aisee, inanitia kichefu chefuUnaitafuta ya nini mkuu? Ukinipa sababu nitakuelekeza vinginevyo huipati ng'o! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I wanna love you more and moreNaona babe Cole kaondoka...acha na mimi nisepe
Nimeshaificha mkuu. Ni comment ya Mzee wa Tukuyu: # 240542 kama sikosei. Tulikuwa na mjadala mzuri kuhusu haya mambo !!!Fanya mpango uifiche aisee, inanitia kichefu chefu
Aisee.Ni comment ya Mzee wa Tukuyu: # 340542 kama sikosei...
If I ain't GOT you Baby.Ungeona ninavyocheza viduku hapa[emoji1][emoji1]acha kabisa...[emoji173][emoji173]
Nitaitafuta namba kamili nitakurekebishia...Aisee.
Naona gurudumu letu bado halijafika huko
Nafikiri ni wawili Tu
Every thing means nothingNa ndo mana simuachi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Nitaitafuta namba kamili nitakurekebishia...