Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daah!sijui nisemeje...kwanza nashukuru sana kwa baraka zako..pili kusikia kitu kama hii from a GT sijui hata nisemeje mana nakosa maneno...nikuombee tu Mungu akutelemshie baraka zake niendelee kujifunza toka kwako,busara na hekma zako...
 
Carba. Mi siyo GT. Mi ni mtu simpo tu hata ikitokea siku tukigongana Mbagala mkiwa na Cole utaishia kushangaa tu...Tuendelee kudumisha upendo na undungu uliotukutanisha hapa na kamwe tusije tukausahau ubinadamu wetu hata tusome na kutajirika namna gani !!!​
 
Amina shemeji[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…