myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Usikivu
Safi sana. Hiyo BMI ni ya kukazia jicho sana hasa siku hizi...Hahaha yamenipwaya kabisa
[emoji106][emoji106][emoji106]Kudaiwa vitu vidogo kama likes ni Aibu lipa deni lako la likes
Kabisa lipa kabla ya kudaiwaKudaiwa vitu vidogo kama likes ni Aibu lipa deni lako la likes
Kwema Tu, tupo hapa kijijini tunasambaza upendo.
Mimi mzima wa Afya kwa kweli tunamshukuru Mungu mnaendeleaje hapo Arusha.??Nzuri kabisa, sijui wewe na mwandani wako
Sana tu nilishafikia hatarini, nimejitahidi sasa inakaribia normalSafi sana. Hiyo BMI ni ya kukazia jicho sana hasa siku hizi...
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hahaha yamenipwaya kabisa
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Haina shida kaka kuwa na amani tuTunafurahisha baraza tu bageshi. Unajua uzi huu ni kama buffet tena ya kimataifa. Karibu kila unachokitaka kipo hapa. Tuendelee kuburudika na ikitokea tukakwazana basi tunasameheana na kusonga mbele. Ndiyo maisha!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ujumbe wa Nanenane 2017
**********************
Wanawake wangeweza kufuga Kuku kama wanavyofuga Kucha ,tungekuwa mbali sana"