We jamaa Mchungaji wako anakuona!!!Usiugeuze,utauumiza bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukiwa na mapenzi na timu muda wote unataka ishinde[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha kwann
Unamaanisha hata wapemba piaSamaki wana kiambata aina ya Omega 3 ambayo husaidia katika ukuaji wa binadamu na kujenga ubongo wake vizuri, ndiyo maana watu wanaoishi katika maeneo yaliyozungukwa na maji mengi ‘bahari, mito au maziwa’ ni watu wenye akili nyingi na watambuzi hata kama hajaenda shule na akienda shule hufanya vyema sana darasani kama ni mtoto, angalia watu wanaotoka ukerewe au sehemu nyinginezo,” anasema Materu.
[emoji22][emoji22][emoji22]nam......Usituulize kitu naona maombi yako unataka yatimie[emoji23] [emoji23]