Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahaha"Mtaka yote hukosa yote atahangaika asijue la kufanya.." Hayo ni maneno yake Dr Remy Ongala. Numbisa mpira unautamani na uzi unautamani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha"Mtaka yote hukosa yote atahangaika asijue la kufanya.." Hayo ni maneno yake Dr Remy Ongala. Numbisa mpira unautamani na uzi unautamani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dogo hauna uwezo wa kunikwaza mimi.Nilishakwazwa siku nazaliwa,nilisemwa hadi nililia[emoji24] [emoji24] [emoji24] tangia siku hiyo nikawa sugu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Imebidi nije nikutake radhi kwakweli...mana nahisi utani wa leo ulipitiliza samahani sana kwa ile ishu ya bamia sikumaanisha yaliyoongelewa kwa maana iliyoongelewa...samahani sana kama ulikwazika
NdioIna maana nyote mliomacho mida hii mnaangalia mpira?
Namuogopaga carba tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Malizia tu nikukamate vizuri[emoji22][emoji22][emoji22]nam......
Nimekuona kule ikabidi nipite kimya tuHuku poa zaidi.
Sema nilikuwa nachungulia jf kidg sana nikapita pita pande zile [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kosa gani tena KK??[emoji23][emoji23][emoji23]Nakutafuta nikikushika wewe leo ungekumbuka jina la utotoni. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilijua lazima iwe Kyela maana nao ni wazima kwa michikichi. Tuletee hayo mawese kiongoziYaani hapo ni probability ya 0.5 kukutana au kutokkukutana na nyoka.Hapo ni kyela mkuu
Sawa[emoji23] [emoji23] [emoji23] dogo hauna uwezo wa kunikwaza mimi.Nilishakwazwa siku nazaliwa,nilisemwa hadi nililia[emoji24] [emoji24] [emoji24] tangia siku hiyo nikawa sugu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Fu.........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Malizia tu nikukamate vizuri
Hebu rudi hapa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]