Mayor of kingstown
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,920
- 4,216
Guys nlkua naulza ET unawezaje uka edite mwez wa kuzaliwa umu JF [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani sijui tu itakuwq hii tisa tisa imenivurugaKwa kosa gani tena KK??[emoji23][emoji23][emoji23]
Haiuwi nyoka.......hata hivyo "kula nanasi kwahitaji nafasi"Tmk to Masaki [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dom to Masaki..fimbo ya mbali.....
Umedandia treni kwa mbele,kodi niliyoiongelea mimi ni ya pango sio hiyo uliyoiwaza wewe,nimemtania Kichwa Kichafu tu,mimi sina time na siasa za kibongo elewa hilo.ILi kusudi Tuiendeleze Chato
Twende pamoja..Naona wote humu mnaongea lugha moja kasoro mimi....
Mimi naenda natoka,Madilidi hawana maana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ina maana nyote mliomacho mida hii mnaangalia mpira?
Goodnight carbaNgoja nisepe zangu
Hii lugha yenu sijawahi ielewaTwende pamoja..
Yaani...???Nakutafuta nikikushika wewe leo ungekumbuka jina la utotoni. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hana lolote kabaki kubweka tu huku mkorea kila siku ana test missile zake kama kawaida.Trump says North Korea will be met with 'fire and fury' if it threatens US
Tisa tisa ilinikamataNimekuona kule ikabidi nipite kimya tu
Goodnight NumbisaGoodnight carba
Jose Leo katupa suti Kule!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] we jamaa kweli ni pasua kichwa [emoji3] [emoji3] [emoji3] utamfanya mzee wa liver atupe simu chini aanze kutimua mbio Dom to Masaki.Jitahidi kusoma,usije uka like kumbe lijamaa linaungurumia Masaki[emoji23] [emoji23] [emoji23]