Haya tafuta lugha tuzungumzeNaona wote humu mnaongea lugha moja kasoro mimi....
Kesho tenaHaya tafuta lugha tuzungumze
Namsubiria mzee wa liver akuje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tumia website kuedit hivyo app huwa inasumbua.Guys nlkua naulza ET unawezaje uka edite mwez wa kuzaliwa umu JF [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko mwanza unaishi kisiwani? Inadaiwa watu waishio visiwani duniani kote hushikilia hoja hiyo pindi wakutanapo na wale ambao hawaishi maeneo hayo.Kwa upande wa Tanzania, watu waliozaliwa na kuishi maeneo ya pembezoni mwa bahari, maziwa, mito ikiwemo kisiwa kama cha Ukerewe na maeneo mengine karibu na maziwa Victoria, Nyasa, Rukwa hata visiwani Zanzibar wamebainika kuwa ni watu wenye akili nyingi na wanaishi kwa muda mrefu ukilinganisha na maeneo mengine ya nchi kitakwimu.