Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Imebidi nije nikutake radhi kwakweli...mana nahisi utani wa leo ulipitiliza samahani sana kwa ile ishu ya bamia sikumaanisha yaliyoongelewa kwa maana iliyoongelewa...samahani sana kama ulikwazika
[emoji23] [emoji23] [emoji23] dogo hauna uwezo wa kunikwaza mimi.Nilishakwazwa siku nazaliwa,nilisemwa hadi nililia[emoji24] [emoji24] [emoji24] tangia siku hiyo nikawa sugu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…