Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

GOOD NIGHT wakuu wa kazi...kwaherini badae badae tena..Mungu awabariki....Kama kuna niliyemkosea leo humu JF nzima anisamehe, Mimi nimemsamehe pia!! Tchaooooo [emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
 
Nilikoment maneno yafuatayo nikitegemea sheria na kanuni za uzi zingezingatiwa. Mpaka sasa sijapata like hata moja.
Niliandika:-
"Mimi ni mume wa mama yako"😀
 
Easily said than done. Unaweza ukasamehe lakini kusahau sasa; na kila ukikumbuka tu unatoneshwa tena!
Hapo inakua hujasamehe.

Ukisha samehe, basi unasahau kabisa.

Msamaha upo pamoja na kusahau.

Hakuna msamaha bila kusahau. Yaani hivi viwili, viko pamoja.

Lakini ukiona huwezi kusahau, basi ujue hujasamehe bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…