[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Afu wengi wanakuaga wafupi walioshiba.
Na asilimia kubwa hua wana mwanya mkuuubwa
Na style yao ya kunyoa ni kama panki fulani hivi
Mmh...jaribu tena baadaenatafuta Girlfriend wa kike
Humu utazichoka.....ni mafuriko+Kwa wale woote nilowagongea like natuma hawatokuwa wachoyo wa fadhira natarajia kuona like kama mia mbili hivi
Ndio nazitaka wanipe huko mbeleni zinaweza kuwa dili nikauzaHumu utazichoka.....ni mafuriko+
Utapewa nyingi.....ila usiwe mchoyo wa kutoa like[emoji19]maana naona sasa hivi hujanipa likeNdio nazitaka wanipe huko mbeleni zinaweza kuwa dili nikauza
HahahahaCheka kwa dharau
Ulikuwemo hongeraKwaherini kwa muda
Ngoja nichukue kijitiKaribuni daku