ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Aje tu tutapiga na likes, kwani kuna mtu asiyetaka kupendwa!njoo na weyee upate ma like ya kutosha![]()
Aje tu tutapiga na likes, kwani kuna mtu asiyetaka kupendwa!njoo na weyee upate ma like ya kutosha![]()
Umejitahidi brother!kamata likes [emoji23][emoji23][emoji23]
TruePapa Mwenye Mafedha James Rugemalila mutu ya watu, Dah sasa hivi ipo na Babu Seya na Kitilya Kekoooo, kweli Maisha hayana fomula
Neema imetushukia kila kona raha rahaJamaniiiiii.Likes zimezidi huu Uzi.Hali IPO wapi?? Likes Si ziliwekwa Ili watu wajitahidi kuweka points vizuri?? Sasa.kama.kuna likes za burebure points zitakuwaje?? Roho inaniuma sana watu kupata points za bure
HahahahaUNAMPA LIKES NGAPI HUYU DADA
Mume: Hallo my queen...
Mke: Nambie my darling...
Mume:: Nimekumiss honey...
Mke:: Hatamimi nimekumiss ile mbayaaa..
Mume:: Samahani mke wangu leo sitaweza kurudi nyumbani nitakuja kesho asubuhi..
Mke:: Unasemaje? na uishie huko huko ......kalale kwa hao hawara zako.....mwanaume mmbaya wewe kama Sokwe ...sijui hata ni Shetani gani alinishawishi hadi nikaolewa na Sokwe kama wewe.... yaani najuta .....sikupendi kabisa toka ndani ya Moyo wangu....Sikupendi hata kidogo..... Naogopa hata watu kujua kuwa umenioa.....naona hata aibu..
Mume:: Punguza jazba mke wangu...niko Bank.....kunafoleni ndefu sana......
Mke:: Ahh!! pole sana darling.....nakuonea huruma handsome wakipekee....but baby...usisahau kuniletea pesa kidogo.....ninashida na laki 2....halafu kuna ile elfu 70 anayonidai mama Amina leo alikuja kunikumbusha....
Nimekuandalia maji ya moto sweetie ukijakuoga mume wangu kipenzi.....then ukumbuke kuniletea chips na kuku wa kuchoma gengeni...nimemiss sana....Nakupenda sana Mfalme wangu....
Mume:: Ni Bank ya kuchangia damu...
Mke:: Na wakutoe yote....bora ufe tu....hunafaida yoyote...nyoo..potelea mbali ......mijitu mingine bhana!!!!
wanawake mungu anawaona
Mwehu yule, afu member! Anyway competition ni nature ya binadamu! Chukua likesNimemuona, kumbe na yeye anazipenda ila anamwaga tu povu eti anajidai ana akili kuzidi Jembekillo.
TrueMkumbuke kusoma mnacho-like msije mka-like matusi
Saa zangu hizi!Wadua mmoja mmoja wanaanza kulala
Nimerudi!Aaa wapi. Utarudi tu. Uzi huu ni zaidi ya Cocaine!
Naona usingizi umewabeba haswa!Napenda likes kuliko kula
Duu wako hoi haswaRudini jamvine
Upo ISISMango 833
Mtafute Miss Natafuta mkuu..natafuta Girlfriend wa kike