Asante, usiku mwema huko ulipo, sisi twaoga tukajenge taifa letu changaNimeshamaliza mimi "kucheza na spoiler"
Tukutane baada ya masaa saba - hadi manane hivi.
Nyote nawatakia Jumatano njema.
Mungu Atulinde na kutubariki....
Jamaa ni askari wa msituni, hana kambi malaam
GeJo imekuwaje tena?
Na kwako pia[emoji4][emoji4]Asubuhi na Jumatano njema!
Na kwako pia[emoji4][emoji4]
Mkimaliza mniambie nije kiweka milango na madirisha[emoji28][emoji28]Asante, usiku mwema huko ulipo, sisi twaoga tukajenge taifa letu changa
Sent using Jamii Forums mobile app