Na bahati mbaya sana sijui kama Tanzania bado inao watunzi kama nyakati za nyuma kidogo ilivyokua akina Elvis Musiba, Faraj Katalambula, Hamie Rajab, Ben Mtobwa na magwiji kadhaa wa kadhaa.Huenda huwezi kabisa kusoma kitabu na kama unasoma labda kwa nadra sana. Matokeo yake, hapana shaka unakosa hazina kubwa ya maarifa.
Ni kweli, mwenyezi mungu awasamehe na awafanyie wepesi pale penye uzitoWapo waliotamani kuiona lakini hawajafanikiwa
Wanamuona mwema kwa hasira za yale masahibu yanayowapata.Halafu leo wanamuona mwema,mwanadamu haeleweki
Yaan hata mm naomba isiwe kweli, maana dah. Kule napo hadi mida hii bado id ya marehem haijajulikana.Wanazusha eti ndiye yule kijana wa system aliye-RIP jana. Naomba isiwe kweli....
"Huwezi kujua thamani ya kitu ulichonacho mpaka kitakapokutoka": Ali Hassan Mwinyi rais wa pili wa Tanzania 1995 dsmHalafu leo wanamuona mwema,mwanadamu haeleweki
AminMungu awafanyie wepesi wote wenye matatizo,wagonjwa awape nafuu