Vipi kama hajavaa ch...na amekushtukia halafu ni chakula ya mwalim? Kibaya zaidi mwalimu ni zamu yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Toka utotoni nilikuwa naenda na kioo shule[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nipo Mkuu
Bara letu hili ni shida mkuu. Yaani wakati mwingine mpaka unasikitika tu. Siasa/viongozi wabovu ndiyo kipingamizi kimojawapo kikuu cha maendeleo yetu.Bara langu la Afrika linanichosha sana. wagombea hawapo tayari kupokea matokeo ya kushindwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa watu maalum
Nzuri mkuu karibu
Utatukuta...Nitarudi baadae
Moyo uliopondeka ama?[emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
Pamoja sana nakubali hiyomore than 75% of all countries are north of the equator
Bifu bado linaendelea...Kizazi mpaka kizazi !!!![]()
![]()
hawa ndio walioleta haya yanayotokea kwa jirani sasa
tuwaombee amani na utulivu kipindi hiki