Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Likeeeeeee
Yes. Likes for likes
45c77a6d09b4129062ec51e630ac0210.jpg
 
Nilifikiri kuwa Wakenya wana kaunafuu kidogo; na kwamba tume yao ya uchaguzi angalau ina kauhuru japo kidogo. Kweli ni kuomba amani tu. Demokrasia !!!
unajua SYB, Mzee Jaramogi na Kenyata walianza pamoja na wakawekwa ndani na wakoloni kila mtu akiwa na harakati zake.
lakini baada ya uhuru wakatofautiana. mpaka ukawepo mtizamo kwa ''Jaxxx hawezi tawala Kenya''
hebu soma hii:
To the American intelligence, Jaramogi Oginga Odinga, Kenya’s first vice president, was a power-hungry politician who was working behind the back of the country’s founding President, Jomo Kenyatta, to gain power and there was a real possibility that he could have toppled Kenyatta, possibly in a coup. As the rumours of a coup swirled, the reports say, Kenyatta asked British troops to stand by, and in one instance, he even turned back a ship of Soviet arms, just in case it was destined for Jaramogi’s alleged clandestine force. The military also raided the basement of Jaramogi’s office and carted away a cache of arms that had been stored there – although Jaramogi insists in his book Not Yet Uhuru that Kenyatta knew about the cache.
 
Back
Top Bottom