Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

SYB vinchi hivi vina tabu sana...alie madarakani kumtoa hata kama hafai ni shida, tume huru ni ipi.. watu wanomba kazi kwenye tume au anawachagua alie madarakani?
tuombe amani
Nilifikiri kuwa Wakenya wana kaunafuu kidogo; na kwamba tume yao ya uchaguzi angalau ina kauhuru japo kidogo. Kweli ni kuomba amani tu. Demokrasia !!!
 
8fdb1d26e920c396be78fc2324a3465a.jpg
Na TZ je??
 
Moi alishinda chaguzi zote ya kwanza dhini ya Jaramongi baba yake Raila
Ya pili dhini ya Mwai kibaki kumbuka Katibu mkuu wa KANU alikuwa Raila wakati wanakwenda kwenye uchaguzi mwingine baada ya Moi kumaliza muda wake akatoka KANU na kuja kumsapoti Kibaki dhini ya UHURU
Nguvu ya Kibaki akiwa opposition na Ya Raila aliyetoka KANU wakiwa tayari na mbinu zote za uchaguzi
Uhuru alishindwa asbh na mapema chaguzi zilizofuata kila mtu anajua nini kilitokea
Hapo ndo patamu sasa. Ndo maana wakati mwingine watu wanachoka na machafuko yanatokea. Cha kushangaza zaidi, na pengine hata kusikitisha, hawa wanaopigana kuingia madarakani nao wakiingia mambo ni yale yale. Ni nadra sana kwa zao la mfumo ule ule kutoa watu wenye mawazo na falsafa tofauti. Matokeo yake nchi zetu hizi ziko pale pale tunapiga maktaimu...
 
Back
Top Bottom