myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
all pilots on international flights identify themselves in English regardless of their country of origin
Sawa, unaelewekaMatatizo ya figo huweza kuchangia ugumu wa upatikanaji wa haja ndogo (mkojo) au miguu na mikono kuvimba.
Pia mtu mwenye shida ya figo huwa katika hatari kubwa ya kukumbwa na matatizo ya moyo.
Kama hivyokaribu utoe likes
[emoji28][emoji28]ndio raha ya uzi huu
Kwahiyo uchaguzi usio na faulo ni kwa upinzani tu kushinda? Yaani uchaguzi halali ni ule ambao wapinzani hushinda? Upinzani ukishindwa tu inakua uchaguzi haukua halali au una faulo?Bila kufanya faulo kushinda ni ngumu sana hasa siasa za kiafrika
Naumwa nini tena??unanitaja hadi nakosa usingizi[emoji28][emoji28][emoji28]carbamazepine au unaumwa?
Hebu rudi kalale huko naona bado usingizi unqkusumbuaYan nina Phd ya usingizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
SYB vinchi hivi vina tabu sana...alie madarakani kumtoa hata kama hafai ni shida, tume huru ni ipi.. watu wanomba kazi kwenye tume au anawachagua alie madarakani?
tuombe amani
Karibu tenaKumbe