Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 5,058
- 22,676
Sawa mkuuToa likes upate likes,karibu
Sawa mkuuToa likes upate likes,karibu
Karibisha mgeni vizuri wewe[emoji28][emoji28][emoji28]mwambie andjul namsalimiaUsiwaze
Sambaza likes mvua ya like itakufata kila kona jf.
Ha wa yuuuKenyata
Mwenyekiti KibakaFive
SYB hapo ndipo watu wanapotaka katiba nzuri na wala si mtu" katiba ikiwa nzuri na sheria zikafatwa kiongozi ni kuweka dira tu kuendana na taratibu zilizoko.. akikosea anaanchia ngazi bila hata fimbo!!Hapo ndo patamu sasa. Ndo maana wakati mwingine watu wanachoka na machafuko yanatokea. Cha kushangaza zaidi, na pengine hata kusikitisha, hawa wanaopigana kuingia madarakani nao wakiingia mambo ni yale yale. Ni nadra sana kwa zao la mfumo ule ule kutoa watu wenye mawazo na falsafa tofauti. Matokeo yake nchi zetu hizi ziko pale pale tunapiga maktaimu...
Bro...and that's politics. Utafikiri chess. One fatal move and you are finished. Naamini ataendelea kujaribu tena na tena mpaka azeeke. Ego inakuambia you were born to do this, kumbe hali halisi ipo kinyume. Mfarakano !!!
Kalale huko hadi uvimbe macho. [emoji23]Naumwa nini tena??unanitaja hadi nakosa usingizi[emoji28][emoji28][emoji28]
Halafu wakishinda hata wakiteuliwa uwaziri jamaa wanasahau na kubadilika mapema sana. Rafiki yangu mmoja ambaye form 6 nilimpigania kweli kumuweka sawa kimasomo kwa sasa naibu waziri niligongana naye kwenye ATM moja juzi juzi hapa akakausha. Nilishangaa sana. Pengine alidhani nitamuomba pesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna shida mkuu aisee nimepitia sana hayo mambo mtu wangu wa kwanza kufanya naye kampeni bega kwa bega na alishinda ubunge
Ndani ya Chama kwenyewe ilikuwa battle la hatari
FainiiiiiiHa wa yuuu