Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Apumzike? Unajua ni pesa kiasi gani ameshapoteza? Hizo pesa ni za nani? Zitarudije? Hakuna kupumzika hata azeeke vipi na mkongojo wake utamuona anatetemeka majukwaani!
Hahahahaha
Baba yake alimuachia nyingi sana shida hakuwa na mipango sahihi kwa wakati sahihi
Moi alimteka akawa Katibu mkuu wa KANU akiwa na nguvu sana
Kuelekea kwenye uchaguzi choice ya Moi ikawa Uhuru yeye akakosa nafasi kosa la kwanza
Akatoka KANU kumsapoti Mwai kibaki kwa makubaliano Kibaki at a rule one term only kosa la pili
Second term ya Kibaki akaamua kumpinga kwenye election
Uhuru akafanya good choice Akamsapoti kibaki kurudi madarakani biashara ikawa imekwisha next election Uhuru Rais
Maamuzi yake hayakuwa sahihi wakati wote Uhuru alitumia vizuri maamuzi yake kwa wakati sahihi
 
usiseme hivyo huu utapeli umeenea carry mi nimeibiwa mara mbili na hawa wezi wa madawa...yapo madawa ya kulevya na ya kienyeji(uchawi)....huwez amin unaibiwa na unataja kila kitu mwenyewe kama mimi mara ya kwanza waliiba laki mbili mpesa yan password nimewatajia mwenyewe unakuwa hujielewi kabisaaaa mara ya pili wameniibia elf 80 na simu...na wapo aina kama nne tofauti wengine hakusemeshi kitu anakukazia machi tu mboni zikijutana macho kwa macho unqmfata tu na ata kama una atm card wanatoa pesa na password unawapa vzr tu
Hii kali. Wezi wako creative na wanatafuta kila mbinu.

Kuna mama mmoja nilimsikia kwenye redio akielezea hii. Aliwapa lift akina mama wawili. Yule aliyakaa naye siti ya mbele akamkazia macho na walipotazamana tu akaanza kuingia uzezeta fulani hivi. Anasema kilichomwokoa ni kuwa alikuwa mtu wa maombi sana. Alipoona hali inaanza kubadilika akaanza kuita jina la Yesu kimoyomoyo. Huyo mama akazidi kumkazia macho huku naye amekazana kuita jina la Yesu. Anasema mwishowe alijisikia kama kitu kinamgusa akashtuka na kutoka katika kunguku la kinjozi njozi alimokuwamo. Wale wanawake majizi kuona kuwa dili limebuma wakatoka garini na kuanza kutimua mbio. Aliwapigia makelele na wananchi wenye hasira wakaanza kufanya yao mpaka polisi walipofika na kuwaokoa.
 
Mkuu usijidharau na pia usidharau taifa la watu. N Korea hana ugomvi na taifa lolote, anajaribu zama zake za kujihami, wenyewe Amerika wanaweweseka. Isidhaniwe kuwa ni rahisi sana Amerika kutumia zama alizotimia Nagasaki na Hiroshima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tupate likes kwanza sipendi vita itokee napenda amani
Lakini Mkuu angalia uhalisia usiangalie maneno bajeti ya US kwenye military mzee nchi 12 za ulaya unaweka UK ,France,Italy,Spain
Hata wao ulaya wanamuoga US sembuse N.K
 
Hahahahaha
Baba yake alimuachia nyingi sana shida hakuwa na mipango sahihi kwa wakati sahihi
Moi alimteka akawa Katibu mkuu wa KANU akiwa na nguvu sana
Kuelekea kwenye uchaguzi choice ya Moi ikawa Uhuru yeye akakosa nafasi kosa la kwanza
Akatoka KANU kumsapoti Mwai kibaki kwa makubaliano Kibaki at a rule one term only kosa la pili
Second term ya Kibaki akaamua kumpinga kwenye election
Uhuru akafanya good choice Akamsapoti kibaki kurudi madarakani biashara ikawa imekwisha next election Uhuru Rais
Maamuzi yake hayakuwa sahihi wakati wote Uhuru alitumia vizuri maamuzi yake kwa wakati sahihi
...and that's politics. Utafikiri chess. One fatal move and you are finished. Naamini ataendelea kujaribu tena na tena mpaka azeeke. Ego inakuambia you were born to do this, kumbe hali halisi ipo kinyume. Mfarakano !!!
 
Back
Top Bottom