Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

usiseme hivyo huu utapeli umeenea carry mi nimeibiwa mara mbili na hawa wezi wa madawa...yapo madawa ya kulevya na ya kienyeji(uchawi)....huwez amin unaibiwa na unataja kila kitu mwenyewe kama mimi mara ya kwanza waliiba laki mbili mpesa yan password nimewatajia mwenyewe unakuwa hujielewi kabisaaaa mara ya pili wameniibia elf 80 na simu...na wapo aina kama nne tofauti wengine hakusemeshi kitu anakukazia machi tu mboni zikijutana macho kwa macho unqmfata tu na ata kama una atm card wanatoa pesa na password unawapa vzr tu
 
2• UVUTAJI SIGARA:
~Uvutaji wa sigara hupelekea kudumaza na kufanya mishipa ya damu kua mifinyu (Arthrosclerosis), hali hii hupunguza damu kuingia katika figo, madhara yake sasa sumu nyingi hubaki mwilini na kazi zingine zote za figo hushindwa kufanyika kwa ukamilifu mwisho wa siku huibuka ugonjwa mkubwa kama vile presha n.k
Asee, nakuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3•UKOSEFU WA LISHE BORA HASA VYAKULA VYE VITAMINI B6:
~ vyakula hivi ni kama , nyama ya kuku, samaki,mboga aina ya spinach,karanga, mbegu za alizeti (mafuta ya alizeti ni mazuri sana kwa figo zako),ndizi nazo ni nzuri sana kwa figo zako. Ukosekanaji wa vyakula ama vitamini B6 huletekeza tatizo la mawe katika figo ( kidney stones), huu ni ugonjwa hatari sana, figo hushindwa kuchuja mkojo na hata inaweza ziba mkojo usitoke,matokeo yake inaweza ikawa ni kufanyiwa upasuaji mdogo ama mkubwa wa kutoa figo kabisa.
Sawa, unasomeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni moja shimba tangu tume za uchaguzi ,usimamizi wa kupiga ,usimamizi wa kuhesabu, watu wengi wana kuwa ni system
Na huu mfumo wa IT ni shida sana suala la Ku hack matokea ni rahisi kwa walio madarakani
Kama wapinzani wanayajua haya, mbona hawatafuti suluhisho? Kuna faida gani ya kushiriki uchaguzi huku unajua kabisa kuwa kura zitaibiwa tu na kwa namna yo yote ile huwezi kushinda? Solution yake ni kulalamika tu kura zinaibwa miaka nenda miaka rudi? Kenya wana tume huru ya uchaguzi kama sikosei; na walishawahi kuangusha chama tawala. Ni kweli kuna wizi mkubwa wa kura kama Raila anavyodai?
 
Back
Top Bottom