Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani mimi sitaki sikia kabisa!
Nilikuwa campaign manager wa mtu fulani alikuwa anataka ubunge!
Yaani we sikia tu!
Ndiyo maana baada ya uchaguzi watu wanakufa!
Yaani it's stress on the highest degree!
Watu wanauza nyumba walahi!
Duh!
Hapana kabisa!
Siasa ni no WAY!
Alishinda? Kuna mtu anataka kugombea urais 2025 na ameniomba niwe chief strategist. Uzoefu wako please?
 
Wakati Adam anaumbwa alikuwa peke yake. Mungu hakumpa Video game acheze kusema litampa campan. : Mungu hakumpa marafiki kusema watampa furaha na kumsupport..bali alimpa Mke..Eva..ili awe msaidizi wake kwa kila jambo. : . Hii inaonesha ni muhimu kiasi gani kuthamini wenzetu. : Marafiki watakuja na kuomdoka, watoto watakua na kwenda kuanzisha pale kifo kitapowatenganisha. : Hivyo Basi Unatakiwa Uipende Familia Yako Kabla Haijakuchimbia Kaburi
Ujumbe mzuri ila mfano uliotumiwa mhhh. Eva!
 
cd496958606be94aa1ea4b9ff733f3b5.jpg
 
Sidhani mkuu N .Korea kupigana na US
Mkuu usijidharau na pia usidharau taifa la watu. N Korea hana ugomvi na taifa lolote, anajaribu zama zake za kujihami, wenyewe Amerika wanaweweseka. Isidhaniwe kuwa ni rahisi sana Amerika kutumia zama alizotimia Nagasaki na Hiroshima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom