Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
F845
Umejuaje ndio napata hapa juice ya miwa imewekwa limaoLunch time... Hata kama ni chips dume na juice ya miwa sawa tu! Usawa huu wa Magufuli hakuna kuchagua!
Kabisa lazima kujiandaa kabla ya kwenda kupandaWatu wengi sana hufa mlimani!
Wana u underestimate!
Wanakufa hovyo tu!
Mlima Kilimanjaro is not a joke walahi!
Umejuaje ndio napata hapa juice ya miwa imewekwa limao
Mihogo
Hahahahaha with saladi ya kutosha
Mkuu kipigo cha jana hakinihusu, najua wewe unahusika pole sana.Njema Kumekuchaaa za kwako. Pole na kipigo cha jana
Siyo lanchi ya Masaki hii mzee. Nyie huko ni scallops, smoked salmon, veggies/fruits huku mkisukumizia na Fiji Wota. Achana na lanchi za Mbagala huku bosi!Umejuaje ndio napata hapa juice ya miwa imewekwa limao
Mihogo
Hahahahaha with saladi ya kutosha
Ni mara ya ngapi hii anagombea?Hana jipya ni muda wake kuondoka kabisa kwenye siasa
Groom watu wengine wabebe vision yako bado utakuwa umesaidia nchi yako
Mno lakini ni uroho wa madaraka ndiyo SheeedaHana jipya ni muda wake kuondoka kabisa kwenye siasa
Groom watu wengine wabebe vision yako bado utakuwa umesaidia nchi yako
Wapinzani wa Afrika hawana hayo. Wanapigania demokrasia wakati wenyewe huko vyamani wameng'ang'ania madaraka miaka nenda miaka rudi. Wengine mpaka vyama vinawafia. Mtu anagombea mpaka mara tatu/nne anashindwa ina maana hakuna wengine huko?Hana jipya ni muda wake kuondoka kabisa kwenye siasa
Groom watu wengine wabebe vision yako bado utakuwa umesaidia nchi yako
Ni ceiling ya Vatican au ni mjengo wa mtu huko Ukerewe?
Kichwa kichafu
Afya ya figo ni muhimu kama ilivyo afya ya moyo, hii ni kwa sababu figo ni moja ya kiungo ambacho husaidia kuchuja sumu mbalimbali ndani ya mwili na baadaye kutoa taka mwili kwa njia ya haja ndogo (mkojo)
Si kweli kuwa wasomaji wote wanapenda ubuyu. nadhani waandishi wa vitabu nao wamekaa kipesa pesa. Yafaa wajivue tamaa yao iliyopitiliza ili watoe vitabu kama walivyofanya wenzao akina Edy Ganzel, Agoro Anduru, John Rutayisingwa nkVipaji vipya vipo tatizo support na wasomaji wenyewe hamna kila mtu anataka ubuyu mtandaoni sio kwenye majarida