Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

10•UTUMIAJI WA DAWA ZA KUPUNGUZA MAUMIVU BILA SABABU:
~ Dawa hizi huitwa over the counter drugs, mara nyingi mtu akijihisi homa kidogo tu anakimbilia kuzimeza dawa hizi lakini ukweli wake ni kwamba hizi dawa ni hatari sana kwa afya yako. Zinawezasababisha madhara makubwa sana ikiwa ni pamoja na kuhatarisha utendaji kazi wa figo.
 
1502266588214.jpg
 
Ulaji unaofaa mara zote husaidia sana kulinda afya ya viungo vyote muhimu ndani ya mwili ikiwa ni pamoja na figo na kuifanya iweze kufanya kazi zake vizuri ndani ya mwili.

Hata hivyo, kuna baadhi ya vyakula ambavyo tunaweza kusema ni vyakula rafiki kwa afya ya figo ndani ya mwili ni vyema ukafahamu hapa leo.
 
Kabeji, hii ni mboga ambayo wengi wetu tunaifahamu sana na tumekuwa tukiitumia katika maisha yetu ya kila siku, lakini ni vyema msomaji wangu ukatambua kwamba mboga hii nayo inauwezo mzuri wa kulinda afya ya figo yako.
 
Samaki pia ni muhimu sana kwa afya ya figo, hii ni kwa sababu kitoweo hiki kina kirutubisho kiitwacho omega 3 ambayo huwa na nafasi nzuri ya kulinda afya ya figo, lakini pia samaki ni chanzo kizuri cha protini ndani ya mwili.
 
Back
Top Bottom