Matibabu ya mawe makubwa ambayo hayawezekani kutibiwa kwa njia za kawaida, ni aidha kwa kuwa ni makubwa hayatoki na haja ndogo au kwa kuwa yakitoka husababisha kutoka damu, uharibifu wa figo au maambukizi ya njia ya mkojo , hali hii huhitaji utaalamu zaidi.
Tiba hizo ni pamoja na ESWL kipimo hiki hutibu kwa kutumia mawimbi ya sauti ambayo huvunjavunja mawe ya figo kuwa vipande vidogo ambavyo vinaweza kutoka na mkojo.