3•UKOSEFU WA LISHE BORA HASA VYAKULA VYE VITAMINI B6:
~ vyakula hivi ni kama , nyama ya kuku, samaki,mboga aina ya spinach,karanga, mbegu za alizeti (mafuta ya alizeti ni mazuri sana kwa figo zako),ndizi nazo ni nzuri sana kwa figo zako. Ukosekanaji wa vyakula ama vitamini B6 huletekeza tatizo la mawe katika figo ( kidney stones), huu ni ugonjwa hatari sana, figo hushindwa kuchuja mkojo na hata inaweza ziba mkojo usitoke,matokeo yake inaweza ikawa ni kufanyiwa upasuaji mdogo ama mkubwa wa kutoa figo kabisa.