carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kuku i bi a nini tena,hebu funguka[emoji23][emoji23][emoji23]Naona wewe unahusika kabisa ku ni i bi a [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuku i bi a nini tena,hebu funguka[emoji23][emoji23][emoji23]Naona wewe unahusika kabisa ku ni i bi a [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ameshinda kwa kishindo na jubilee kuongoza both houses senate na bunge dogoNamuona Uhuru akirudi tena ikulu
Naona umeanza kuwa mchochezi unavijua usiku ulivyokimbia navyo hafu unaniuliza mim tena[emoji23] [emoji23]Kuku i bi a nini tena,hebu funguka[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera kwake aiseeh....Ameshinda kwa kishindo na jubilee kuongoza both houses senate na bunge dogo
Acha kunisingizia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja norud kulala kwanza nikiamka nitahitaji ufafanuziNaona umeanza kuwa mchochezi unavijua usiku ulivyokimbia navyo hafu unaniuliza mim tena[emoji23] [emoji23]
NinaendeleaHongera kwake aiseeh....
Ubarikiwe kwa kutuletea updates humu[emoji122][emoji122][emoji122]
Lala mama ila acha kuvamia sector za watu mida ya wanga ona unavyoangaika kucompensate usingizi wa jana. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kunisingizia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja norud kulala kwanza nikiamka nitahitaji ufafanuzi