ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Indeed my loveThe one and only
My Queen
Indeed my loveThe one and only
My Queen
Sijambo mama, za ww.Nakusalimia nsamaka
Poa bossTiba, naomba leo tuletee uchambuzi wa chakula cha kuilinda figo
Na kwako mkuuasubuhi njema
Vipaji vipya vipo tatizo support na wasomaji wenyewe hamna kila mtu anataka ubuyu mtandaoni sio kwenye majaridaNa bahati mbaya sana sijui kama Tanzania bado inao watunzi kama nyakati za nyuma kidogo ilivyokua akina Elvis Musiba, Faraj Katalambula, Hamie Rajab, Ben Mtobwa na magwiji kadhaa wa kadhaa.
Sent using Jamii Forums mobile app