mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wenzetu walioendelea ukishindwa tu uchaguzi unaachia mpka kwenye chamaWapinzani wa Afrika hawana hayo. Wanapigania demokrasia wakati wenyewe huko vyamani wameng'ang'ania madaraka miaka nenda miaka rudi. Wengine mpaka vyama vinawafia. Mtu anagombea mpaka mara tatu/nne anashindwa ina maana hakuna wengine huko?