Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

cd496958606be94aa1ea4b9ff733f3b5.jpg
Nimeipenda hii.
 
Hahahaa! Bora hata wewe umeliona hilo Mkuu,yaani chaguzi lazima zifuatiwe na vurugu!! Asiyekubali kushindwa si mpizani~by Wahenga
Mpaka demokrasia (whatever it is) inakosa maana kabisa. Wengine mpaka wanaapa kabisa "Safari hii tutahakikisha kuwa hatuibiwi kura. Ushindi ni lazima". Wakishindwa mara tena unasikia "Tumeibiwa kura". Wazungu walitulazimisha tu haya mavyama mengi bali hatukuwa tayari na naamini hata hatujui dude hili demokrasia maana yake nini. Matokeo yake ni vurugu tupu !!!
 
Siyo lanchi ya Masaki hii mzee. Nyie huko ni scallops, smoked salmon, veggies/fruits huku mkisukumizia na Fiji Wota. Achana na lanchi za Mbagala huku bosi!
Mkuu hiyo safi mihogo ya kuchemsha kachumbari pilipili kwa wingi plus juice ya miwa
Lishe tosha kabisa
Numbisa anaweza kunisahisha hapo
 
Kama mimi. Mpira ni big no. Huwa sielewi eti Aseno au Livapul imefungwa huko Uingereza mtu yuko Mbagala huku anashindwa kula mihogo yake kwa sababu ya maumivu ya kufungwa. Sitakaa nielewe hii lojiki aisee...
Aisee!! Ila kila mtu na starehe yake,pengine wewe unapenda kukimbizana na "wauza sukari"
~Joking~
 
Back
Top Bottom