Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati Adam anaumbwa alikuwa peke yake. Mungu hakumpa Video game acheze kusema litampa campan. : Mungu hakumpa marafiki kusema watampa furaha na kumsupport..bali alimpa Mke..Eva..ili awe msaidizi wake kwa kila jambo. : . Hii inaonesha ni muhimu kiasi gani kuthamini wenzetu. : Marafiki watakuja na kuomdoka, watoto watakua na kwenda kuanzisha pale kifo kitapowatenganisha. : Hivyo Basi Unatakiwa Uipende Familia Yako Kabla Haijakuchimbia Kaburi
 
Kabla ya kupata mtoto wa kike linah afunguka kuwa ashawahi kuchoropoa mimba mbili. Na hayo ndo yalikuwa majibu yake alipokuwa akiulizwa na Mtangazaji Soudy Brown >>>“Yah nisiwe muongo nilishawahi kutoa mimba kipindi cha nyuma, nilikuwa naogopa kwasababu Baba yangu alikataa mtu kubeba mimba nje ya ndoa” “Mimba nimezitoa, siyo mara nyingi ila naweza kusema kama mara mbilii”:-Linah
 
Mwanasiasa mwenye vituko Mike Sonko anaelekea kushinda uchaguzi wa Gavana wa Jiji Nairobi. Mpaka kufikia asubuhi ya leo majira ya saa 2:00 ubao wa matokeo ulikuwa unaonyesha: Mike Sonko 753,945 (53.4%) Evans Kidero 606,632 (42.97%) [HASHTAG]#UchaguziKenya[/HASHTAG]
 
Media walimdanganya walionyesha yuko ahead
Like Clinton Trump race
Mama aliamini tayari media zilimbeba sana mwisho
Trump anashinda kwa kishindo
Ndio siasa nachukia siasa sana
Yaani mimi sitaki sikia kabisa!
Nilikuwa campaign manager wa mtu fulani alikuwa anataka ubunge!
Yaani we sikia tu!
Ndiyo maana baada ya uchaguzi watu wanakufa!
Yaani it's stress on the highest degree!
Watu wanauza nyumba walahi!
Duh!
Hapana kabisa!
Siasa ni no WAY!
 
Back
Top Bottom