Nimecheka hadi mbavu zimeniuma. Backing the wrong horseRaila for chato presidency
huwezi jua
Word of the day walahi!Hata wafungwe kumi siwezi kosa amani nakuwa normal tu maisha yanaendelea
Kuna vitu vingi vinanipa Furaha
Na nimeongeza na huu Uzi wa malikes
Tangu yuko Chelsea jamaa namkubali sanaLukaku anajitahidi.