mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaWe unataka niwe na mahaba na nini?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kk umeanza mambo yako
HahahahahaWe unataka niwe na mahaba na nini?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Big upMnanidai likes lakini nitawalipa tu kivyovyte
PamojaFor nadaiwa kazi za watu
Ngoja niwalipe halafu nitakuja kuwalipa likes.
Postini kwa nguvu zote
Hey my dearPamoja
Media walimdanganya walionyesha yuko aheadHow did Raila lost this election?
Ni muda wa Raila kupumzika sasaThe fall of Raila is mwa culpa
Kazi yako ni muhimu sana!For nadaiwa kazi za watu
Ngoja niwalipe halafu nitakuja kuwalipa likes.
Postini kwa nguvu zote
Kwa kweliNi muda wa Raila kupumzika sasa
Kulikuwa hakuna namna lazima arudi tuNamuona Uhuru akirudi tena ikulu
Yule senator wa Nairobi karudi kweliAmeshinda kwa kishindo na jubilee kuongoza both houses senate na bunge dogo