mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaAisee!! Ila kila mtu na starehe yake,pengine wewe unapenda kukimbizana na "wauza sukari"
~Joking~
HahahahahaAisee!! Ila kila mtu na starehe yake,pengine wewe unapenda kukimbizana na "wauza sukari"
~Joking~
Chaaah!Hii kali. Wezi wako creative na wanatafuta kila mbinu.
Kuna mama mmoja nilimsikia kwenye redio akielezea hii. Aliwapa lift akina mama wawili. Yule aliyakaa naye siti ya mbele akamkazia macho na walipotazamana tu akaanza kuingia uzezeta fulani hivi. Anasema kilichomwokoa ni kuwa alikuwa mtu wa maombi sana. Alipoona hali inaanza kubadilika akaanza kuita jina la Yesu kimoyomoyo. Huyo mama akazidi kumkazia macho huku naye amekazana kuita jina la Yesu. Anasema mwishowe alijisikia kama kitu kinamgusa akashtuka na kutoka katika kunguku la kinjozi njozi alimokuwamo. Wale wanawake majizi kuona kuwa dili limebuma wakatoka garini na kuanza kutimua mbio. Aliwapigia makelele na wananchi wenye hasira wakaanza kufanya yao mpaka polisi walipofika na kuwaokoa.
Aisee! Sasa hawa wanaoshindwa, pesa walizopoteza huwa wanazirudishaje? Hasa kama kauza nyumba, viwanja na assets zinginezo? It must be hell japo ndo ujasiri wenyewe wa kuthubutu maishani!Hamna!
Alishindwa!
Pesa upande mmoja na udini!
Vurugu mechi!
Yaani ni pesa TU!
Hata kwenye chama tu anatoka kabisaNi kweli,tena unakuta huyo aliyeshindwa hagombei tena.
Avatar yako mkuu huwa inanikosha sana. Si kwa huo usingizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sura yang hyo mkuuAvatar yako mkuu huwa inanikosha sana. Si kwa huo usingizi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()
Wakiwa na huo uchu wa madaraka, wanakuwa kama mateja wa heroine!Aisee! Sasa hawa wanaoshindwa, pesa walizopoteza huwa wanazirudishaje? Hasa kama kauza nyumba, viwanja na assets zinginezo? It must be hell japo ndo ujasiri wenyewe wa kuthubutu maishani!
Wata jiju kwa kwelina sisi kama jirani tunawaombea waelewane