mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Acha kabisa siasaSiasa ni kama kamari. Kila ukiliwa unaamini kuwa raundi ijayo jackpot itaitika. Hata ushauriwe vipi na uonyeshwe jinsi odds zako za ku-hit jackpot zilivyo ngumu hukubali. Unaona hao washauri kama wanakuonea wivu na unaendelea kujaribu tena na tena.