Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Moi alishinda chaguzi zote ya kwanza dhini ya Jaramongi baba yake Raila
Ya pili dhini ya Mwai kibaki kumbuka Katibu mkuu wa KANU alikuwa Raila wakati wanakwenda kwenye uchaguzi mwingine baada ya Moi kumaliza muda wake akatoka KANU na kuja kumsapoti Kibaki dhini ya UHURU
Nguvu ya Kibaki akiwa opposition na Ya Raila aliyetoka KANU wakiwa tayari na mbinu zote za uchaguzi
Uhuru alishindwa asbh na mapema chaguzi zilizofuata kila mtu anajua nini kilitokea
siasa zina mambo yake..kuna mengi zaidi ya kura..Jaramogi hakutakiwa awe rais kama mwanae asivyotakiwa awe rais...
 
Back
Top Bottom