Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
F855
HahahahaHakuna shida mkuu aisee nimepitia sana hayo mambo mtu wangu wa kwanza kufanya naye kampeni bega kwa bega na alishinda ubunge
Ndani ya Chama kwenyewe ilikuwa battle la hatari
HahahahahaWakiwa na huo uchu wa madaraka, wanakuwa kama mateja wa heroine!
Maana wanajiona tayari wamesha kuwa wabunge na kuchaguliwa kuwa mawaziri kwenye wizara nyeti!
Alafu watu walio wazunguka ndiyo matapeli wa hali ya juu!
Ni stressful comedy walahi!
Hahahaha
PointSYB vinchi hivi vina tabu sana...alie madarakani kumtoa hata kama hafai ni shida, tume huru ni ipi.. watu wanomba kazi kwenye tume au anawachagua alie madarakani?
tuombe amani
uniq naogopa kuja hukuKK wewe mbaya sana. Hata kusema upo Tanga??
PointSYB vinchi hivi vina tabu sana...alie madarakani kumtoa hata kama hafai ni shida, tume huru ni ipi.. watu wanomba kazi kwenye tume au anawachagua alie madarakani?
tuombe amani
15:193:03
AMUN RA
Na hiyo lazima iwe hata afanyaje awezi kuwa Rais wa Kenyasiasa zina mambo yake..kuna mengi zaidi ya kura..Jaramogi hakutakiwa awe rais kama mwanae asivyotakiwa awe rais...
Nipo mkuu sema nachungulia chungulia sana