Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Wezi sio wa kuonewa huruma kabisa. Mie bora kuonekana na dharau kuliko kusimamishwa na mtu nisiye mfahamu ati nimwelekeze mahali aiseeeHii kali. Wezi wako creative na wanatafuta kila mbinu.
Kuna mama mmoja nilimsikia kwenye redio akielezea hii. Aliwapa lift akina mama wawili. Yule aliyakaa naye siti ya mbele akamkazia macho na walipotazamana tu akaanza kuingia uzezeta fulani hivi. Anasema kilichomwokoa ni kuwa alikuwa mtu wa maombi sana. Alipoona hali inaanza kubadilika akaanza kuita jina la Yesu kimoyomoyo. Huyo mama akazidi kumkazia macho huku naye amekazana kuita jina la Yesu. Anasema mwishowe alijisikia kama kitu kinamgusa akashtuka na kutoka katika kunguku la kinjozi njozi alimokuwamo. Wale wanawake majizi kuona kuwa dili limebuma wakatoka garini na kuanza kutimua mbio. Aliwapigia makelele na wananchi wenye hasira wakaanza kufanya yao mpaka polisi walipofika na kuwaokoa.
Sitoi ufafanuzi kwa mtu analala lala tu[emoji23] [emoji23]Ufafanuzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
karibu utoe likesPazuri huku
Je hapa ndiyo mwisho doctor numbisaNatumaini kila mmoja atakua makini sasa juu ya usalama wa figo zake.
Yan nina Phd ya usingizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sitoi ufafanuzi kwa mtu analala lala tu[emoji23] [emoji23]
Ningeliaaaaa wala nisingeonekana humu miezi teleHaaaaaa
Nilijua wewe dada yangu wamekutapeli
SawaAfya ya figo ni muhimu kama ilivyo afya ya moyo, hii ni kwa sababu figo ni moja ya kiungo ambacho husaidia kuchuja sumu mbalimbali ndani ya mwili na baadaye kutoa taka mwili kwa njia ya haja ndogo (mkojo)
Hahaha Ndio