Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu wakishinda hata wakiteuliwa uwaziri jamaa wanasahau na kubadilika mapema sana. Rafiki yangu mmoja ambaye form 6 nilimpigania kweli kumuweka sawa kimasomo kwa sasa naibu waziri niligongana naye kwenye ATM moja juzi juzi hapa akakausha. Nilishangaa sana. Pengine alidhani nitamuomba pesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyo atakuwa ndiye mhenga aliye sema "tenda wema nenda zako"
 
e6a97783dd6c86eb108c67e63052e6e7.jpg
Police just cleared a roadblock mounted by protesters in Mathare
Nimegundua uliwai kuwa mlizi shirikishi
 
Back
Top Bottom