Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nilifikiri kuwa Wakenya wana kaunafuu kidogo; na kwamba tume yao ya uchaguzi angalau ina kauhuru japo kidogo. Kweli ni kuomba amani tu. Demokrasia !!!
Not in Africa
Mwenyekiti wa tume anapendekezwa na Rais anapitishwa na Bunge ambalo una wabunge wengi
Hata makamishima wa tume hivi kweli ushindwe uchaguzi utakuwa Zuzu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…